Thursday, May 8, 2008

mchungaji wa kijijini ikizu


Asante Bwana michuzi, nawatafuta wanafunzi wenzangu, Forodhani miaka ya 1980, chidya boys pale masasi, Isango tech-musoma, Bulima tech-mwanza, Mwemage- Ibwera-bukoba, bado nawakumbuka kama, Adam Ling'wetu, Goodluck mmary, masasi shadrack, salum mbaya, nyabange, kiberiti kibiriti, matimo matimo, tafadhali tukumbukane email yangu davidmusika@gmail.com mie niko hapa ikizu mission musoma naendelea na kazi yangu ya jadi ya kufuga ng'ombe. asante sana, David musika.